MAFUNZO YA KUTUMIA TABLETS, SMART PHONES NA CAPI KATIKA UKUSANYAJI WA TAKWIMU

 

Mkuu wa Chuo cha Takwimu Mashariki mwa Afrika kilichopo Changanyikeni Dar es salaam anapenda kuwatangazia kuwa kutakuwa na mafunzo ya kutumia TABLETS, SMART PHONES na CAPI Awamu  ya nne(4)  katika ukusanyaji Takwimu. Mafunzo yataanza rasmi tarehe 14/02/2018 na yatadumu kwa muda wa siku tatu (3). Gharama za mafunzo ni Tsh. 50,000/=

 

Sifa za Muombaji

Awe angalau na elimu ya kidato cha nne na kuendelea au awe amewahi kufanya kazi za ukusanyaji takwimu.

 

Malipo yafanyike kupitia;

Account Name: EASTC

Account Number: 0150396002402 – CRDB.

 

Jinsi ya kuomba:

Maombi yatumwe kwa njia ya mtandao kupitia Tovuti ya chuo ambayo ni: www.eastc.ac.tz/nbs au fika chuoni kwa msaada zaidi.

 

Kwa Mawasiliano zaidi na Kujisajili Wasiliana na:

Ofisi ya Msajili wa Chuo,

Chuo cha Takwimu Mashariki mwa Afrika  (EASTC),

S.L.P 35103,

DAR ES SALAAM.

Barua pepe: info@eastc.ac.tz 

Tovuti: www.eastc.ac.tz

Simu nambari: 0717739016 au 0768870827.