TANGAZO LA NAFASI ZA UDADISI

Chuo cha Takwimu Mashariki mwa Afrika hakipokei maombi ya nafasi za kazi za udadisi zilizotangazwa na Ofisi ya Taifa ya Takwimu. Maombi ya nafasi hizo za udadisi yatumwe kupitia Ofisi za Takwimu za Mkoa anakotoka mwombaji kama ilivyoelekeza katika tangazo hilo.

 

IMETOLEWA NA:

UTAWALA,

CHUO CHA TAKWIMU MASHARIKI MWA AFRIKA.

image: